Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Askari wa Israel waanza kujitoa mhanga wenyewe kwa kujiua baada ya kusongwa na mawazo ya vita virefu vya Gaza.
Ikumbukwe kuwa kuna askari wa Marekani pia aliwahi kujiua mwenyewe huko huko Marekani mbele ya ubalozi wa Israel mjini Washington DC akipinga vita vya Israel.
Waisrael wanakabiliwa na hali mbaya kila kona dhidi ya uwepo wao wa uvamizi katika Ardhi za Wapalestina. Na hapa Shaka kuwa uzayuni huu ulioivamia Palestina Miaka mingi utafika kikomo chake na Utawala huo utang'olewa na Wazayuni hao kurudi huko walikotokea.
Wakati huo Dunia itakuwa Salama na ya Amani na kuondokana na saratani ya Kizayuni katika Miwili wa Mashariki ya Kati.
Your Comment